Stadi ya Huduma

Kujenga ustadi ni kujenga uwezo au ujuzi. Biblia inasema kwamba kibali huja kwa watu wenye ujuzi. Kazi ya huduma huhitaji uwezo mkubwa. Kitabu hiki kipya, “Stadi ya Huduma” ni rasiliamali inayohitajika sana kwa wale wote wanaotamani kufanya kazi ya huduma. Inawasilisha vizuri mawazo yapi ni sahihi na yapi ni mabaya kuhusu huduma, nini kazi ya huduma, ni kipi kinachotakiwa kwako kama mfanyakazi katika huduma na jinsi gani ya kufanya majukumu ya mtumishi. Je umewahi kuwaza jinsi ya kufanya kazi yako katika huduma? Kitabu hiki cha kipekee cha Dag Heward- Mills kitakupa changamoto kutembea kwa kulingana na wito wa Mungu na kukuongoza katika kujitoa kikamilifu katika kazi ya huduma.

Nunua kwa vifaa vya Apple
Nunua kutoka kwa Vitabu vya Google
Nunua kitabu cha karatasi
Category:

Description

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Stadi ya Huduma”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Title

Go to Top