• Ni nini jukumu kuu la mchungaji? Je, ni kufanya mazishi na kusimamia harusi? Kamwe sio! Haya ni majukumu ya mtumishi lakini sio majukumu kuu. Ikiwa utumishi wako umezorota hadi majukumu yako kuu ni kuendesha harusi na kuzika watu, basi unafaa kusoma Biblia yako tena! Jukumu kuu la mtumishi ni kutimiza Utume Mkuu.
  • Upandaji makanisa ni jambo la kiajabu ambalo limeenea kati ya watumishi wenye haiba. Ilikuwa shughuli kuu ya wafuasi wa kale. Upandaji kanisa uliofaulu, hata hivyo, unadai ujuzi na unakumbatia sababu nyingi. Dag Heward-Mills anachambua vipengeleze mbalimbali vya upandaji kanisa katika kitabu hiki. Ni mwongozo wa mafunzo kwa kila mtumishi ambaye anataka kufanya upandaji kanisa ono lake la kimaisha.
  • Dag Heward-Mills ni mwandishi wa vitabu vingi, ikiwemo kitabu kinachouzwa sana "Uaminifu na Ukosefu wa Uaminifu". Yeye ni mwanzilishi wa dhehebu lenye makanisa zaidi ya elfu moja linaloitwa "The Lighthouse Chapel International". (Kanisa la Kimataifa la Lighthouse). Dag Heward-Mills, mwinjilisti wa kimataifa huhudumu katika Mkutano wa Injili wa Kimataifa na Yesu Mponyaji na mikutano duniani kote. kwa taarifa zaidi, tembelea www.daghewardmills.org.
  • इस उत्तम पुस्तक में, बिशप डैग हेवर्ड-मिल्स सिखाते है कि कैसे विश्वासयोग्यता के संघटक एक सेवक के प्रदर्शन को समेकित करते हैं। बाइबिल के ऐतिहासिक और साहित्यिक संदर्भ का उपयोग करके, विषय प्रत्येक पाठक के लिए और भी अधिक प्रासंगिक बन जाता है।

  • Hii kitabu ya kipekee na Dag Heward-Mills atawafundisheni nini maana ya kupata upako na jinsi gani unaweza kuwa mafuta kwa ajili ya huduma. Kujifunza jinsi ya kukamata upako kwa ajili ya kazi ya huduma. Kitabu hiki ni lazima kwa kila mhudumu.
  • "Kama Mkristo, mguso mkubwa na mzuri maishani mwako unatakiwa kuwa Roho Mtakatifu. Kitabu hiki kinakuwezesha kuelewa jinsi gani tabia yako, dhamira yako, ubunifu wako na hata uwezo wako wa kuwa mtakatifu unaweza kushawishiwa na Roho Mtakatifu. Kupitia kitabu hiki cha ajabu cha Dag Heward–Mills, lazima umruhusu Roho Mtakatifu akushawishi, akutie moyo na abadilishe maisha yako milele."
  • डैग हेवर्ड-मिल्स की कलम से लिखी गयी यह पुस्तक सभी सेवकों के लिए एक और उपहार है जो इसे पढ़ने का कष्ट करेंगे। पिता और पुत्रों के बीच के जटिल संबंधों के प्रश्नों का उत्तर भी यह पुस्तक देगी। इस पुस्तक के शिक्षण के माध्यम से, आप अपने जीवन पर से अभिशाप हटायेंगे और अपने आप पर आशीष लायेंगे। पिता के विशेष लोग हैं जो पुत्रों को पालते हैं और संरक्षित करते हैं। पितरों के बिना अन्य पीढ़ियों के लिए सेवकाई जारी रखने के लिए कोई संतान नहीं होंगी। परमेश्वर की बुलाहट पिता के साथ संबद्ध करने के लिए आपकी क्षमता के साथ पनपती या मर जाती है। इस पुस्तक को पढ़ें और अपमान अवहेलना से जुड़े हुए शाप, और पिता की अवेज्ञा और कमजोर रिश्ते जोड़ने से बचें।

  • Unatamani kuwa mpakwa mafuta? Katika kitabu hiki cha kihistoria, Dkt Dag Heward-Mills anagawa hatua kadhaa za hadi kupokea upako. Kitabu hiki kwa hakika kitakuwa cha baraka kwako na utumishi wako. Gundua hatua unazohitaji kuchukua ili uwe mpakwa mafuta.
  • Dag Heward-Mills ni mwandishi wa vitabu vingi, ikiwemo kitabu kinachouzwa sana "Uaminifu na Ukosefu wa Uaminifu". Yeye ni mwanzilishi wa dhehebu lenye makanisa zaidi ya elfu moja linaloitwa "The Lighthouse Chapel International". (Kanisa la Kimataifa la Lighthouse). Dag Heward-Mills, mwinjilisti wa kimataifa huhudumu katika Mkutano wa Injili wa Kimataifa na Yesu Mponyaji na mikutano duniani kote. kwa taarifa zaidi, tembelea www.daghewardmills.org.
  • Kanisa zimejazwa na wanafiki ambao huwa wakosa ushikamanifu. Ufunguo mkuu wa shetani kwa kila wakati umekuwa udanganyifu na unafiki. Kiongozi ambaye hawezi ona ndani ya barakoa ya mnafiki atateseka kwa upofu wake. Vitisho, kufahamiana na mkanganyiko ni roho mbaya ambazo kupambana na watumishi. Wakati mwingi, watu hata hawajui nini kinachopambana nao. Kitabu hiki kitakusaidia kutambua na kupambana
  •   Watu wanaokuacha wanaweza kukuharibu. hakuna kitu kinachoweza kuelezea hisia ya mfadhaiko, kuchangayikiwa na mhangaiko ambazo hushuka wakati watu wanakuacha. Kitabu hiki kimeandikwa kukusaidia kupambana na uharibifu ambao unaachiliwa wakati watu wanapokuacha. Usidanganye. Kutelekezwa au kuachwa sio la kipekee kwako na utumishi wako. Wengine wengi wameteseka na mambo sawia. Shetani alikuwa muasi wa
  • अहंकार एक बहुत ही घातक जहर है जिसने वर्षों से मानव जाति को बुरी तरह से प्रभावित किया है। इसलिए कि इसे देख पाना असंभव होता है, इसलिए अहंकार में बड़ी विनाशकारी क्षमता होती है। इस खतरे से हम अपने जीवन में किस तरह से लड़ सकते हैं? नम्रता के टीकाकरण के द्वारा! नम्रता एक महत्वपूर्ण आत्मिक गुण है। केवल थोड़े से लोगों ने ही इस अस्पष्ट, लेकिन महत्वपूर्ण आत्मिक गुण के विषय में लिखने का साहस जुटाया है। इस नए रोमांचकारी किताब में, डग हेवार्ड-मिल्स ने अहंकार के कई भयानक रूपों को प्रकट किया है। यह सामर्थशाली पुस्तक, जो एक संघर्षरत् सह-विश्वासी द्वारा लिखा गया है, आपको आशीषित करेगी और बालक के समान यीशु मसीह की नम्रता को आपमें विकसित करने के लिए उत्साहित करेगी।

Title

Go to Top