Dkt. Dag Heward-Mills, kiongozi Mkristo wa kipekee, anafichua moja wapo ya siri zake. “kama mtu angeniuliza siri kubwa ya mahusiano yangu na Mungu ni nini, ningesema, bila kusita kwamba ni nguvu ya muda wa faragha ninaokuwa naye kila siku”. Ameamua kuandika kitabu hiki ili nawe uweze kunufaika kutokana na nguvu ya muda wa faragha.
Namna Unavyoweza Kuwa na Muda wa Faragha Mzuri na Mungu Kila Siku
Description
Dkt. Dag Heward-Mills, kiongozi Mkristo wa kipekee, anafichua moja wapo ya siri zake. “kama mtu angeniuliza siri kubwa ya mahusiano yangu na Mungu ni nini, ningesema, bila kusita kwamba ni nguvu ya muda wa faragha ninaokuwa naye kila siku”. Ameamua kuandika kitabu hiki ili nawe uweze kunufaika kutokana na nguvu ya muda wa faragha.
Reviews
There are no reviews yet.