Biblia inauliza swali hili la muhimu sana: “Ni nani awezaye kumpata mtu mwaminifu?” Hili linaonyesha jinsi ilivyo vigumu kumpata mtu mwenye sifa ya thamani sana iitwayo “uaminifu.”
Je, umewahi kujiuliza kwa nini watu wengine huanza safari yao ya Kikristo kwa ari na shauku, lakini huanguka njiani? Kwa nini wengine huanza kwa moto wa huduma lakini huishia katika uharibifu?

Reviews
There are no reviews yet.