Mwenye Kitu Atapewa, Naye Asiye Nacho, Hata Kile Alicho Nacho Tanyang’anywa

Dag Heward-Mills ni mwandishi wa vitabu vingi, ikiwemo kitabu kinachouzwa sana “Uaminifu na Ukosefu wa Uaminifu”. Yeye ni mwanzilishi wa dhehebu lenye makanisa zaidi ya elfu moja linaloitwa “The Lighthouse Chapel International”. (Kanisa la Kimataifa la Lighthouse). Dag Heward-Mills, mwinjilisti wa kimataifa huhudumu katika Mkutano wa Injili wa Kimataifa na Yesu Mponyaji na mikutano duniani kote. kwa taarifa zaidi, tembelea www.daghewardmills.org.

Category:

Description

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Mwenye Kitu Atapewa, Naye Asiye Nacho, Hata Kile Alicho Nacho Tanyang’anywa”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Title

Go to Top