Sanaa ya Kufuata

“Kumfuata Mungu ni safari ya kusisimua ya ugunduzi. Kufuata na kuiga watu wengine ni sanaa za toka jadi za kujifunza ambazo Yesu Kristo alichagua kama kanuni yake kuu ya kufundisha watu. Badala ya kujitenga na mbinu hii ya kujifundisha ambayo imetumiwa kwa muda mrefu, ni wakati wa kuelewa uzuri na unyenyekevu uliyo katika sanaa ya kufuata. Katika kitabu hiki utagundua ni nani, ni nini na jinsi unavyopaswa kufuata kwa njia inayostahili. Kitabu hiki kipya na kizuri mno kilichoandikwa na Dag Heward-Mills kinaipatia sanaa ya kufuata nafasi yake inayofaa katika maisha yetu ya Kikristo.”

Nunua kwa vifaa vya Apple
Nunua kutoka kwa Vitabu vya Google
Nunua kitabu cha karatasi
Category:

Description

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Sanaa ya Kufuata”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Title

Go to Top