Yesu Kristo ndiye Nabii mkuu zaidi aliyepata kuishi! Alitabiri kwamba maumivu na makwazo yatakuja kwa kila mmoja.
Maumivu na makwazo yamesababisha uharibifu mkubwa sana katika kanisa. Ni ombi langu kwamba kwa maneno haya machache utaokolewa kutoka kwa uovu na laana inayokuja kwa njia ya kwazo.
Tena, zaidi ya hayo, mwanangu, uwe na maonyo: kutunga vitabu vingi hakuna mwisho; na kusoma sana ni uchovu wa mwili!

Reviews
There are no reviews yet.