• Dag Heward-Mills ni mwandishi wa vitabu vingi, ikiwemo kitabu kinachouzwa sana "Uaminifu na Ukosefu wa Uaminifu". Yeye ni mwanzilishi wa dhehebu lenye makanisa zaidi ya elfu moja linaloitwa "The Lighthouse Chapel International". (Kanisa la Kimataifa la Lighthouse). Dag Heward-Mills, mwinjilisti wa kimataifa huhudumu katika Mkutano wa Injili wa Kimataifa na Yesu Mponyaji na mikutano duniani kote. kwa taarifa zaidi, tembelea www.daghewardmills.org.
  • Wachungaji wanashinikizwa kuwafurahisha na kuwapendeza washirika wao kwa habari njema. Shinikizo hii ya watu imesababisha kubadilisha kwa maneno ya Kristo mpaka imekuwa vigumu kutambua ujumbe wa msalaba. Leo, tunarudi kwa ukweli wa msingi wa Ukristo kwamba tunapaswa "kupoteza" ili "kumpata" Kristo. Nguvu itarudi katika kanisa kadiri tunavyohubiri kwamba tunapaswa kujitoa dhabihu, kuteseka na kufa kwa ajili ya Kristo. Nguvu ya maneno ya Kristo haiwezi kuondolewa na mtu yeyote hata kama amefanikiwa au ni mtu wa nguvu namna gani.
  • Dag Heward-Mills ni mwandishi wa vitabu vingi, ikiwemo kitabu kinachouzwa sana "Uaminifu na Ukosefu wa Uaminifu". Yeye ni mwanzilishi wa dhehebu lenye makanisa zaidi ya elfu moja linaloitwa "The Lighthouse Chapel International". (Kanisa la Kimataifa la Lighthouse). Dag Heward-Mills, mwinjilisti wa kimataifa huhudumu katika Mkutano wa Injili wa Kimataifa na Yesu Mponyaji na mikutano duniani kote. kwa taarifa zaidi, tembelea www.daghewardmills.org.
  • क्या आप अभिषेक पाने के इच्छुक हैं? इस ऐतिहासिक पुस्तक में डॉ हैवार्ड-मिल्स अभिषेक प्राप्त करने के लिए कई क़दमों को बतायेंगे। इस किताब निश्चित रूप से आपके लिए और आपकी सेवकाई के लिए एक वरदान होगी। अभिषेक पाने के लिए उन क़दमों की ख़ोज करने की जरूरत है जो आप बाद में लेंगे!

  • Bibilia inatuamabia kwamba sisi sote tunafanya makosa mengi- wakiwamo pia wachungaji. Makosa yana uwezo wa kukurudisha nyuma badala ya kwenda mbele. Kosa linaweza kukuzuia kuendelea. Ni makosa yapi mchungaji anaweza kuyafanya? Ni makosa yapi ambayo yanaweza kuwa makosa kumi makuu ya mchungaji? Unakaribishwa kupitia kurasa za kitabu hiki maalum na ugundue mwenyewe makosa ambayo uko katika hatari ya
  • यह गंभीर कथन "तुम में से एक शैतान है" यीशु मसीह ने अपने बारह शिष्यों के छोटे समूह के लिए बनाया था। हममें से बहुत से शैतान द्वारा उत्पीडित किए जाते हैं क्योंकि हमें नहीं पता कि उसे कैसे अनावरण करना है या उसकी हस्तकला को पहचानना है। इस आशीषित पुस्तक में, आप शैतान के पापों की खोज करेंगे और उन पर कभी नहीं चलेंगे। यह वाक्यांश "तुम में से एक शैतान है" कभी भी आप पर लागू न हो!

  • कलीसिया बहुत सारे ढोंगियों से भरी हुई हैं जो पूरी तरह विश्वासघाती हैं। शैतान की मुख्य कुँजी ने हमेशा धोखा और ढोंग किया है। एक सेवक, जो एक ढोंगी के मुखौटे के माध्यम से नहीं देख सकता है वह अपने अंधापन के लिए नुक्सान उठायेगा। धमकी, परिचित और भ्रम की दुष्ट आत्मायें हैं जो कि सेवकों लडती हैं। बहुत समय लोगों को को पता नहीं होता है कि उनसे कौन लड़ रहा है। यह किताब आपकी पहचान करने और भीतर से दुश्मन का मुकाबला करने में मदद मिलेगी।

  • Dag Heward-Mills ni mwandishi wa vitabu vingi, ikiwemo kitabu kinachouzwa sana "Uaminifu na Ukosefu wa Uaminifu". Yeye ni mwanzilishi wa dhehebu lenye makanisa zaidi ya elfu moja linaloitwa "The Lighthouse Chapel International". (Kanisa la Kimataifa la Lighthouse). Dag Heward-Mills, mwinjilisti wa kimataifa huhudumu katika Mkutano wa Injili wa Kimataifa na Yesu Mponyaji na mikutano duniani kote. kwa taarifa zaidi, tembelea www.daghewardmills.org.
  • Je, nguvu zisizo kawada zipo hadi leo? Je, naweza kufanya mambo kupitia nguvu hiyo isio ya kawaida? Je, kama Mungu bado anawaponya watu, kwa nini hamponyi kila Mtu? Nawezaje kupata au kupokea upako wa uponyaji? Gundua majibu juu ya maswali haya na megnine mengi juu ya udhihirisho wa Roho Mtakatifu kupitia kurasa za kitabu hiki chenye kusisimua kilichoandikwa na Dag Heward-Mills.
  • जो लोग आपको छोड़ देते हैं आपको नष्ट कर सकते हैं। कुछ भी अवसाद, भ्रम और चिंता की भावना का वर्णन नहीं कर सकता है जब लोग आपसे दूर चले जाते हैं। यह किताब आपकी मदद के लिए जब लोग आपको छोड़ कर चले जाते हैं उस विनाश से लड़ने के लिए लिखी गयी है। धोखा मत खाओ। छोड़ दिया जाना या त्याग दिया जाना आपकी सेवकाई के लिए अद्वितीय नहीं है। कई अन्य लोगों को भी इसका सामना करना पड़ा है। शैतान पहले विद्रोही था और उसके बाद से उसने सभी विद्रोहों को प्रेरित किया है। अपने हाथ में इस किताब के साथ, आप उठेंगे और विश्वासघाती की भावना से जो कि "जो लोग तुम्हें छोड़ देते हैं" से आती है से लड़ेंगे।

  • Shetani anatka kanisa lako kubakia ndogo. Jinsi una watu wachache katika mkutano wako ndivyo alivyo na mateka wengi. Kima cha kanisa lako kinakuonyesha ni kwa kiwango kipi unapunguza idadi ya watu jehanamu. Wakati una kanisa kubwa, inamaanisha kwamba unajenga roho. Pia inamaanisha kwamba roho zaidi zimeepuka mikono ya shetani. Jua mengi katika hiki "cha lazima" kwa wachungaji wote.
  • विद्रोही लोगों को याद नहीं है कि उनके लिए क्या किया गया है और अक्सर कुछ बातों को भूलने के लिए चुन लेते हैं। यहूदा को याद नहीं था कि परमेश्वर ने उसके लिए क्या किया था, उसने जो यीशु के कार्यों के देखा और सुना उन बातों को स्मरण नहीं किया। यही कारण है कि आज हम जानते हैं कि वह घृणित चरित्र 'यहूदा' के रूप जाना जाता है। याद करने की क्षमता सबसे महत्वपूर्ण आत्मिक गुणों में से एक है जो एक सेवक के पास हो सकती है। जो लोग याद नहीं करते है, शायद ही कभी अच्छे कार्य करते हैं। वे सिर्फ कुछ ऊंचाइयों तक वृद्धि करने में असफल हो जाते हैं। इस विशेष पुस्तक, इस कभी चर्चा न किये गए विषय पर आपके लिए परमेश्वर से एक उपहार है।

Title

Go to Top